nini chanzo cha huu ugojwa wa musimu? nauita wa musimu kwa kuwa huja na kutoweka, macho yanakuwa mekundu, na ukimwangalia mwenye tatizo machoni nawe unakuambukiza, mwenye kujua atujuze,
red eyes hiyo, haina dawa....na macho yanawasha balaa, ukikupata utaumwa kama siku tatu hivi, halafu hautakurudia tena ukishakupata..lkn unaweza kumuuliza Dr. Kwani hapa natoa details kwa kutumia uzoefu