Ugolo na mchuchumao watumika kupima ugoni........lol

Ugolo na mchuchumao watumika kupima ugoni........lol

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Jamaa huyu ambaye kachoshwa na taarifa za mtaani ya kuwa memsapu wake amekithiri katika kuigawa...................sasa adai kapata dawa..............mama hushurutishwa kuvua nguo zote usiku halafu hunusishwa ugoro huku akiwa kachuchumaa...................halafu kitambaa safi na cheupe haswa kawekewa chini......................akianza kupiga chafya jamaa anamshiikamshika mkewe sehemu nyeti kwa kitambaa kile na kunusa akisubiria kuona kama kamasi zitachuruzika.............zikichuruzika kibanio huanzia hapo mpaka majogoo......................mwanamama naye kagundua njia..................mambo yote ni kwa soksi......................kwa hiyo hakuna kamasi tena..................jamaa afikiri kipigo ndicho kimemshikisha adabu mkewe.................kumbe mkewe kaerevuka.............................waswahili husema unapokula na kipofu khala-khala usimshike mkono..................
 
Duh! Hii nayo kali.. ina maana jamaa yeye hachapi? kama anachapa manake hata za kwake zinakuwepo so haina haja ya kutesa bibie. Kunguru hafugiki.
 
hicho ni kichaa... shida yote ya nini, si bora umuache kuliko kumtesa namna hiyo?

mijitu mingine ni gonjwa sana......................very sick..........
 
Duh! Hii nayo kali.. ina maana jamaa yeye hachapi? kama anachapa manake hata za kwake zinakuwepo so haina haja ya kutesa bibie. Kunguru hafugiki.

ni hapo basi....................................mtega wakati mwingine hujitega mwenyewe.................
 
Nilipoambiwa kua uyaone mwenzenu nilifikiri niyaone magorofa.
 
Back
Top Bottom