Ugomvi bayana Alon Musk na warusha Rocket wengine USA

Ugomvi bayana Alon Musk na warusha Rocket wengine USA

Hapana mkuu sio kama simkubali ila yani jamaa ni mbabe mno and iyo kitu inamfanya anakua phycho ndo maana anaweza ata vuta bangi akiwa anaojiwa wote tunajua weed inakupa confidence kwa wale baadhi sasa yeye alikua anajiandaa ki phscholgy kubana siri zake kwa kujibu strategically and ili aweze ivo ilimpasa ale weed
Duuu kwa hiyo musk ni mvuta bangi??
 
Mkuu mi ndo maana napambana baada ya miaka 3 ijayo nikaishi USA,ile nchi iko na watu wa tofauti sana,hata elon mwenyewe angebaki africa asingeweza kufika hapo alipo
 
Ndio,aling'ang'ania sana kwenda kuishi states kwa sababu aliona huku afrika ndoto zake haziwezi kutimia,alimsisitiza sana dingi yake..jamaa mjanja sana
Africa kutimiza ndoto kama zile ni uwongo, hakuna resources za kutosha kufanya vitu kama vile..kwanza serikali zetu hizi unapigwa kesi ya kuujumu uchumi..😀😀😀
 
Kamuangalie twiter jinsi alivy yani jamaa anatafuta ma engineer live twiter aaah uyu jamaa ni kwere
 
Back
Top Bottom