Ugomvi bayana Alon Musk na warusha Rocket wengine USA

Duuu kwa hiyo musk ni mvuta bangi??
 
Mkuu mi ndo maana napambana baada ya miaka 3 ijayo nikaishi USA,ile nchi iko na watu wa tofauti sana,hata elon mwenyewe angebaki africa asingeweza kufika hapo alipo
 
Ndio,aling'ang'ania sana kwenda kuishi states kwa sababu aliona huku afrika ndoto zake haziwezi kutimia,alimsisitiza sana dingi yake..jamaa mjanja sana
Africa kutimiza ndoto kama zile ni uwongo, hakuna resources za kutosha kufanya vitu kama vile..kwanza serikali zetu hizi unapigwa kesi ya kuujumu uchumi..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kamuangalie twiter jinsi alivy yani jamaa anatafuta ma engineer live twiter aaah uyu jamaa ni kwere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…