Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 22,527 Reaction score 79,976 Nov 11, 2019 #41 PANTHERA LEO said: Emb weka picha ya huyo mwanaume wako mwenye muonekano wa kiume Click to expand... Siweki
PANTHERA LEO said: Emb weka picha ya huyo mwanaume wako mwenye muonekano wa kiume Click to expand... Siweki
COMPTON BLVD JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 682 Reaction score 615 Nov 11, 2019 #42 joanah said: Ebitoke na huyo dada mwingine wanagombania Mlela ama? Kama ni hivyo kweli tunatofautiana taste ya wanaume,unalilia mwanaume anayesuka nywele??kwanza Mlela mwenyewe hana mvuto wa kiume! Halafu inaweza kuwa kiki tu Click to expand... Yah! Ebitoke aliamua kukivuruga kisa Mlela,kabra ya mahojiano na waandishi wa habari Mlela na huyo binti waliyekuwa pamoja walikuwa wanaonyesha maloveee
joanah said: Ebitoke na huyo dada mwingine wanagombania Mlela ama? Kama ni hivyo kweli tunatofautiana taste ya wanaume,unalilia mwanaume anayesuka nywele??kwanza Mlela mwenyewe hana mvuto wa kiume! Halafu inaweza kuwa kiki tu Click to expand... Yah! Ebitoke aliamua kukivuruga kisa Mlela,kabra ya mahojiano na waandishi wa habari Mlela na huyo binti waliyekuwa pamoja walikuwa wanaonyesha maloveee