Ugomvi : Ebitoke aishiwa uvumilivu , amvamia Mlela

Ugomvi : Ebitoke aishiwa uvumilivu , amvamia Mlela

Ebitoke na huyo dada mwingine wanagombania Mlela ama?

Kama ni hivyo kweli tunatofautiana taste ya wanaume,unalilia mwanaume anayesuka nywele??kwanza Mlela mwenyewe hana mvuto wa kiume!

Halafu inaweza kuwa kiki tu
Yah! Ebitoke aliamua kukivuruga kisa Mlela,kabra ya mahojiano na waandishi wa habari Mlela na huyo binti waliyekuwa pamoja walikuwa wanaonyesha maloveee
 
Back
Top Bottom