Ugomvi : Ebitoke aishiwa uvumilivu , amvamia Mlela

Ebitoke na huyo dada mwingine wanagombania Mlela ama?

Kama ni hivyo kweli tunatofautiana taste ya wanaume,unalilia mwanaume anayesuka nywele??kwanza Mlela mwenyewe hana mvuto wa kiume!

Halafu inaweza kuwa kiki tu
 
We unasema hana mvuto wenzio wanapigana kumkosa 🤣🤣🤣 tastes zinatofautiana maam
 
Back
Top Bottom