Ugomvi mikubwa waibuka kati ya Floyd na Justin Bieber

Ugomvi mikubwa waibuka kati ya Floyd na Justin Bieber

Wajuzi wa mambo embu nipeni dodoso kidogo, nini kimetokea kati ya maswahiba hawa wawili?

Justin Bieber alikuwa shabiki wa damu wa Floyd Mayweather lakini naona ghafla anamchukia Mayweather kupindukia.


Kwanza alianza kum unfollow IG kisha kufuta picha nyingi za pamoja alizopiga na Floyd.

Kama hiyo haitoshi, amekuwa akimkandia Floyd mara kwa mara na kusema pia hata pambano lake dhidi ya Conor McGregor hawezi kuhudhuria na pia Floyd Mayweather hana uwezo wa kumpiga Conor McGregor.

Na yeye Bieber bila kumumunya maneno amedai kuwa atakuwa upande wa Conor McGregor na anatamani Conor McGregor amtandike haswaaa Floyd Mayweather.

Maneno haya yamemkosesha amani sana Floyd ukizingatia Bieber ni rafiki yake pia ni kama mwanae, na mara nyingi amekuwa wakipeana sapoti mara kwa mara.


Ila Floyd katumia utu uzima wake hakutaka kusema mbovu juu ya Bieber wala nini, na anataka kum prove wrong Justin kwamba yeye (Floyd) bado hajaisha na ataendelea kuwa undefeated world champion miaka na miaka.

Unalikumbuka bif la floyd na babaake kabla ya kupambana na pac man?.. same to this!.. i wish diamond na kiba could do the same kupiga pesa lkn hawajitambui
 
Huu uhusiano wao una maswali mengi sana! Hasa maneno ya Floyd kwamba amevunjwa moyo na JB na rumors za JB kuwa gay ndio kabisa

Ugomvi wao utahusu Mahusiano Yao kwny Mtandao pendwa wa Tigo
 
emptybrain.png
hahaha Brain not found.
 
Back
Top Bottom