Ugomvi wa Manji na Rais Kagame utaifanya Yanga isishirii tena Kagame Cup kama kumkomoa

Cc freeland

hapo tusi ni lipi? arrogance ni tusi? popo/kigeugeu ni tusi? au umeelewaje mtaalamu?

By the way Umefundishwa mtu akinya mtaani/barabarani na wewe unye kwa sababu yeye amekunya?
 
hapo tusi ni lipi? arrogance ni tusi? popo/kigeugeu ni tusi? au umeelewaje mtaalamu?

By the way Umefundishwa mtu akinya mtaani/barabarani na wewe unye kwa sababu yeye amekunya?

Naona hujielewi...naachana na ww
 
freeland usibishane naye huyo mtu uelewa wenu upo tofaut sana ndugu yangu ni sawa na barcelona ikijiandaa kucheza kombe la klabu bingwa ulaya ije kucheza mechi ya majaribio na temeke shooting star. wewe ni kama barcelona huyo jamaa ni kama temeke shootimg star. achana naye
 
Ulichokiandika na jina lako havitofautiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…