Ugomvi wa Manji na Rais Kagame utaifanya Yanga isishirii tena Kagame Cup kama kumkomoa

Ugomvi wa Manji na Rais Kagame utaifanya Yanga isishirii tena Kagame Cup kama kumkomoa

Huu ugomvi wa Yanga na Kagame ulianza mwaka 2012 Mara baada ya Yanga kwa nguvu kubwa kushinda Kagame Cup ili Yanga ipate nafasi ya kwenda kuonana na Kagame... toka mwaka huo baada ya kutoelewana naye Yanga haijashiriki Kagame Cup kwa visingizio lukuki kila mara linapokuwepo Kombe la Kagame ili kumkomoa kutokana na kilichotokea huko ambacho ni dhahiri hakikuwa na manufaa kwa Yanga au hawakuwa na kukubaliana. na mwaka huu haitashiriki tena ili kumkomoa Kagame na kombe lililopewa jina lake. ni aina fulani tu ya siasa ambayo inarudisha nyuma mpira wetu kwa sababu ambazo ni binafsi za mtu mmoja. ningewashauri yanga washiriki kombe hili ili kujipa mazoezi na kujipima wakijiandaa na mashindano ya kimataifa hapo mbeleni.
Hivi umesahau kama mashindano ya mwaka 2013 ambao yalifanyika kule sudan kusini timu za tz zilizuiliwa na serikali kwa sababu ya machafuko!!!!

Umesahau kama mwaka jana yanga walitaka kupeleka vijana lakin musonye akagoma na kuwapa ushiriki azama?!!!!
 
Hii habari inashaka, pamoja na udhaifu wa Yanga kwenye maamuzi lakini hili sikubali.

Tusubiri kauli ya mmiliki wake.
 
Muanzisha mada acha story za kutunga bwana...hakuna mwaka yanga iligomea kushiriki kagame...tangu yanga ichukue ubingwa wa kagame ilishindikana kushiriki kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao..mfano kunawakati kombe lilifanyika somalia selikali ikaizuia kushiriki kutokana na usalama..msomu uliofata yanga ikazuiliwa na tff kutokana na kutaka kupeleka kikosi cha vijana na nafasi yao akapewa azam.....kama huna cha kupost ingia bafuni upige nyet.o

rudia kusoma ulichoandika hapa ujione ulivyo popo
 
rudia kusoma ulichoandika hapa ujione ulivyo popo

Hapo nilichokosea ni somalia badala ya sudani kusini,kitu ambacho hakibadili content...kama kuna nilichokosea kingine ni typing error...labda uniambie ww kingine nilichokosea mi sijakiona
 
Hapo nilichokosea ni somalia badala ya sudani kusini,kitu ambacho hakibadili content...kama kuna nilichokosea kingine ni typing error...labda uniambie ww kingine nilichokosea mi sijakiona

una high level ya hypocrisy nas unnecessary arrogance.....u don deserve learned conversations
 
hujui unachokisema yahoo. ni kwa vile uelewa wako umeisha kama jinsi ambavyo umedhihirisha maana ndicho kitu pekee unachoona ni bora katika uelewa wako. toka Yanga ilipochukua ubingwa mara ya mwisho na kwenda Rwanda kwa kagame kilichotokea huko imekuwa na kawaida ya kutafuta excuse za kutokushiriki. na na kwambia as long as mwenyekiti huyu yupo madarakani yanga haitashiriki mashindano ya kagame na mwaka huu haitashiriki tena na excuse zitatafutwa na kwa kuwa wanayanga wengi uelewa mdogo kama wewe basi utakuja hapa na utetezi kama huo.. sasa usiatake kututukanisha wanayanga kuwa sisi ni wapiga punyeto na ndo maana huwa tunakuwa vile kwa mwenyekiti kama zile picha tumempigia magoti tunamwmba .tunamshihi,tunamwabudu asikie maombi yetu.

1.hili jina lako la chizi maarifa linaendana na ulichokiandika.

2.huo ugomvi wa manji na kagame hujasema ulisababishwa na nini?

3.msimu wa 2013/2014 yanga na simba zilitakiwa kushiriki mashindano haya nchini sudan, je ni manji aliyewakataza wasiende??

4.msimu wa 2014/2015 yanga iliandaa timu ya kushiriki kagame, je ni nanji aliyewakataza?

5.kama ikitokea yanga kutoshoriki mashindano haya mwaka huu, sio kwa sababu ya manji bali ni kwa sababu ya mambo yaliyo nje ya uwezo wa yanga kama ilivyokuwa kwa misimu 2 iliyopita.

6.siku nyingine unapotoa habari uwe na uhakika wa habari yako.
 
Freeland mi nlishaacha kumwelewesha yahoo ana ubongo wa ndege. yeye huwa hawezi ufikiria au kureason ni kwamba akishaambiwa akariri jambo flan basi ataliimba hilo hilo kama kasuku otherwise huwa si mwelewa. na mbaya ni kuwa anadhan yeye ndo yanga zaidi y watu wenye uelewa wao. achana naye utapoteza muda kutaka kumwelewesha... ukishindana naye atakushinda maana yeye ana uzoefu.
 
Last edited by a moderator:
Soma quotes zako nyuma uone kama hukuwa unatukana

sio soma ....nioneshe wapi nimetukana.........mimi siko hivo mkuu....show me wapi nimetukana

Uwe na utamaduni wa kuvumiliana hata kama umezidiwa hoja na huna cha kusema

Matusi ni Utaratibu wa Banana Republic
 
Back
Top Bottom