yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,409
Hakuna ugomvi kati ya Manji na Kagame, tatizo ni ugomvi kati ya YANGA na MUSONYE.
Muanzisha mada anatatizo binafsi na manji...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ugomvi kati ya Manji na Kagame, tatizo ni ugomvi kati ya YANGA na MUSONYE.
Mkuu umefafanua vizuri sana, ila tu hapo kwenye red. 'Ikazuiliwa na CECAFA' siyo TFF.
Hivi umesahau kama mashindano ya mwaka 2013 ambao yalifanyika kule sudan kusini timu za tz zilizuiliwa na serikali kwa sababu ya machafuko!!!!Huu ugomvi wa Yanga na Kagame ulianza mwaka 2012 Mara baada ya Yanga kwa nguvu kubwa kushinda Kagame Cup ili Yanga ipate nafasi ya kwenda kuonana na Kagame... toka mwaka huo baada ya kutoelewana naye Yanga haijashiriki Kagame Cup kwa visingizio lukuki kila mara linapokuwepo Kombe la Kagame ili kumkomoa kutokana na kilichotokea huko ambacho ni dhahiri hakikuwa na manufaa kwa Yanga au hawakuwa na kukubaliana. na mwaka huu haitashiriki tena ili kumkomoa Kagame na kombe lililopewa jina lake. ni aina fulani tu ya siasa ambayo inarudisha nyuma mpira wetu kwa sababu ambazo ni binafsi za mtu mmoja. ningewashauri yanga washiriki kombe hili ili kujipa mazoezi na kujipima wakijiandaa na mashindano ya kimataifa hapo mbeleni.
Muanzisha mada acha story za kutunga bwana...hakuna mwaka yanga iligomea kushiriki kagame...tangu yanga ichukue ubingwa wa kagame ilishindikana kushiriki kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao..mfano kunawakati kombe lilifanyika somalia selikali ikaizuia kushiriki kutokana na usalama..msomu uliofata yanga ikazuiliwa na tff kutokana na kutaka kupeleka kikosi cha vijana na nafasi yao akapewa azam.....kama huna cha kupost ingia bafuni upige nyet.o
rudia kusoma ulichoandika hapa ujione ulivyo popo
Hapo nilichokosea ni somalia badala ya sudani kusini,kitu ambacho hakibadili content...kama kuna nilichokosea kingine ni typing error...labda uniambie ww kingine nilichokosea mi sijakiona
una high level ya hypocrisy nas unnecessary arrogance.....u don deserve learned conversations
una high level ya hypocrisy nas unnecessary arrogance.....u don deserve learned conversations
hujui unachokisema yahoo. ni kwa vile uelewa wako umeisha kama jinsi ambavyo umedhihirisha maana ndicho kitu pekee unachoona ni bora katika uelewa wako. toka Yanga ilipochukua ubingwa mara ya mwisho na kwenda Rwanda kwa kagame kilichotokea huko imekuwa na kawaida ya kutafuta excuse za kutokushiriki. na na kwambia as long as mwenyekiti huyu yupo madarakani yanga haitashiriki mashindano ya kagame na mwaka huu haitashiriki tena na excuse zitatafutwa na kwa kuwa wanayanga wengi uelewa mdogo kama wewe basi utakuja hapa na utetezi kama huo.. sasa usiatake kututukanisha wanayanga kuwa sisi ni wapiga punyeto na ndo maana huwa tunakuwa vile kwa mwenyekiti kama zile picha tumempigia magoti tunamwmba .tunamshihi,tunamwabudu asikie maombi yetu.
...you have to answer my question before putting your div 5 english...
u dont deserve an answer from any civilized person
Umeamua kuuficha umbumbumbu wako kwa kuongea kingereza eeeeh..
matusi yanakusaidia nini kijana?
Soma quotes zako nyuma uone kama hukuwa unatukana
una high level ya hypocrisy na unnecessary arrogance.....s
rudia kusoma ulichoandika hapa ujione ulivyo popo