Ugomvi wa Mke na Mume, Housegirl anahusika vipi?

S U N N Y

Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
75
Reaction score
153
Jumamosi ahsubuhi tulipishana kauli na wife, ikawa ni ugomvi mkubwa sana kiasi kwamba nilipotoka kwenda kazini akaamua achukue watoto na kuondoka nao,

Ameondoka na watoto wetu wawili kitu ambacho ni cha kawaida as watoto ni wadogo ikiwa ata waacha hakutakua na mtu wa kuwahudumia.

Ila jambo la ajabu na kushangaza ameondoka na housegirl wetu, sasa swali nnalojiuliza ni kua, house girl anaingilianaje kwenye ugomvi wetu ?

Mtu kaondoka na watoto si angemwacha tu housegirl hapa nyumbani ?
Kwani nani anaemlipa housegirl kama si mimi mwenyewe ???

Wadau hii mnaweza itafsiri vipi huu sio utani ananifanyia huyu mwanamke ???
 
Jumamosi ahsubuhi tulipishana kauri na wife, ikawa ni ugomvi mkubwa sana kiasi kwamba nilipotoka kwenda kazini akaamua achukue watoto na kuondoka nao,

Yaani fisi ana ona kwamba ana haki zaidi ya kuachiwa kulinda bucha la nyama, kuliko watoto wake, right?🐒
 
Jumamosi ahsubuhi tulipishana kauri na wife, ikawa ni ugomvi mkubwa sana kiasi kwamba nilipotoka kwenda kazini akaamua achukue watoto na kuondoka nao,

Ameondoka na watoto wetu wawili kitu ambacho ni cha kawaida as watoto ni wadogo ikiwa ata waacha hakutakua na mtu wa kuwahudumia.

Ila jambo la ajabu na kushangaza ameondoka na housegirl wetu, sasa swali nnalojiuliza ni kua, house girl anaingilianaje kwenye ugomvi wetu ?

Mtu kaondoka na watoto si angemwacha tu housegirl hapa nyumbani ?
Kwani nani anaemlipa housegirl kama si mimi mwenyewe ???

Wadau hii mnaweza itafsiri vipi huu sio utani ananifanyia huyu mwanamke ???
Sasa unataka ubaki na house girl wa kazi gani kama watoto hawapo? Acha mizengwe bana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Housegirl mlimleta kwa kazi gani? Km kumsaidia mkeo kazi baada ya familia kuongezeka ni wajibu wake kuondoka nae, kilichofanyika kahamishwa kituo cha kazi kwa muda. Mkeo akirudi na h/girl nae pia atarudi..!!
 
Jumamosi ahsubuhi tulipishana kauri na wife, ikawa ni ugomvi mkubwa sana kiasi kwamba nilipotoka kwenda kazini akaamua achukue watoto na kuondoka nao,

Ameondoka na watoto wetu wawili kitu ambacho ni cha kawaida as watoto ni wadogo ikiwa ata waacha hakutakua na mtu wa kuwahudumia.

Ila jambo la ajabu na kushangaza ameondoka na housegirl wetu, sasa swali nnalojiuliza ni kua, house girl anaingilianaje kwenye ugomvi wetu ?

Mtu kaondoka na watoto si angemwacha tu housegirl hapa nyumbani ?
Kwani nani anaemlipa housegirl kama si mimi mwenyewe ???

Wadau hii mnaweza itafsiri vipi huu sio utani ananifanyia huyu mwanamke ???
mwanamke wako akili kubwa kuliko wewe, wanawake mjitahidi kwenye kuchagua wenza maana unaweza kuangukia kwa kiazi kicherema kama aliyeleta uzi huu.
 
Sasa huyo dada wakazi ubaki nae wanini na watoto ndio waliomleta hapo?
 
Ukute HG mwenyewe yuko hivi mhhh!

IMG-20250313-WA0057.jpg
 
Amekuondolea resources zooote mpaka utamu kaondoka nao(wivu unamsumbua).

Kama ameondoka mwenyewe bila kufukuzwa, usihangaike nae, atakusumbua.

Kama ukithubutu kwenda kwao kumfuata, basi maisha yako yote ya ndoa, mkibishana kidogo tu atakua anaondoka coz anajua utaenda kuomba msamaha.

Nini cha ku deal na mwanamke dizain hiyo?? Piga ban.

Hakikisha harudi nyumbani kwako mpaka anyooke.

Mwanamke alieolewa, anamiliki mji wake, hawezi kukaa zaidi ya miezi 3 nyumbani kwao bila kuanza kugombana na mama yake. Wataanza kukwaruzana tu trust me!!

Wakishaanza kugombana atapamis nyumbani kwake, atakumis na wewe, akipiga simu pokea kwa pozi jifanye upo bize, ila mara moja moja uwe unaenda kuwacheki madogo.

Kausha zako kimyaaa, wazazi wakikuita waambie live, aliondoka bila kuaga, asubiri mpaka nitakapompa ruhusa ya kurudi. Hapa utakua unampa adhabu yeye pamoja na wazazi wake, next time hawatokubali aende nyumbani kizembe bila ruksa yako.

Usihangaike na watoto sijui watapata shida kwenda shule, sijui wataishi maisha magumu, mnyooshe yeye na watoto wake wakae wakijua baba huwa hapendi masihara, next time watakua upande wako.

Siku ukimruhusu kurudi unampa na masharti yako, akirudi atanyooka kama rula
 
Jumamosi ahsubuhi tulipishana kauri na wife, ikawa ni ugomvi mkubwa sana kiasi kwamba nilipotoka kwenda kazini akaamua achukue watoto na kuondoka nao,

Ameondoka na watoto wetu wawili kitu ambacho ni cha kawaida as watoto ni wadogo ikiwa ata waacha hakutakua na mtu wa kuwahudumia.

Ila jambo la ajabu na kushangaza ameondoka na housegirl wetu, sasa swali nnalojiuliza ni kua, house girl anaingilianaje kwenye ugomvi wetu ?

Mtu kaondoka na watoto si angemwacha tu housegirl hapa nyumbani ?
Kwani nani anaemlipa housegirl kama si mimi mwenyewe ???

Wadau hii mnaweza itafsiri vipi huu sio utani ananifanyia huyu mwanamke ???
Shahid muhimu aachwi mahakaman kabla ya kesi kwisha
 
Back
Top Bottom