1. Kauri βJumamosi ahsubuhi tulipishana kauri
Yaani fisi ana ona kwamba ana haki zaidi ya kuachiwa kulinda bucha la nyama, kuliko watoto wake, right?πJumamosi ahsubuhi tulipishana kauri na wife, ikawa ni ugomvi mkubwa sana kiasi kwamba nilipotoka kwenda kazini akaamua achukue watoto na kuondoka nao,
Ameondoka na watoto wetu wawili kitu ambacho ni cha kawaida as watoto ni wadogo ikiwa ata waacha hakutakua na mtu wa kuwahudumia.
Ila jambo la ajabu na kushangaza ameondoka na housegirl wetu, sasa swali nnalojiuliza ni kua, house girl anaingilianaje kwenye ugomvi wetu ?
Mtu kaondoka na watoto si angemwacha tu housegirl hapa nyumbani ?
Kwani nani anaemlipa housegirl kama si mimi mwenyewe ???
Wadau hii mnaweza itafsiri vipi huu sio utani ananifanyia huyu mwanamke ???
Sasa unataka ubaki na house girl wa kazi gani kama watoto hawapo? Acha mizengwe bana π€£π€£π€£π€£π€£π€£Jumamosi ahsubuhi tulipishana kauri na wife, ikawa ni ugomvi mkubwa sana kiasi kwamba nilipotoka kwenda kazini akaamua achukue watoto na kuondoka nao,
Ameondoka na watoto wetu wawili kitu ambacho ni cha kawaida as watoto ni wadogo ikiwa ata waacha hakutakua na mtu wa kuwahudumia.
Ila jambo la ajabu na kushangaza ameondoka na housegirl wetu, sasa swali nnalojiuliza ni kua, house girl anaingilianaje kwenye ugomvi wetu ?
Mtu kaondoka na watoto si angemwacha tu housegirl hapa nyumbani ?
Kwani nani anaemlipa housegirl kama si mimi mwenyewe ???
Wadau hii mnaweza itafsiri vipi huu sio utani ananifanyia huyu mwanamke ???
mwanamke wako akili kubwa kuliko wewe, wanawake mjitahidi kwenye kuchagua wenza maana unaweza kuangukia kwa kiazi kicherema kama aliyeleta uzi huu.Jumamosi ahsubuhi tulipishana kauri na wife, ikawa ni ugomvi mkubwa sana kiasi kwamba nilipotoka kwenda kazini akaamua achukue watoto na kuondoka nao,
Ameondoka na watoto wetu wawili kitu ambacho ni cha kawaida as watoto ni wadogo ikiwa ata waacha hakutakua na mtu wa kuwahudumia.
Ila jambo la ajabu na kushangaza ameondoka na housegirl wetu, sasa swali nnalojiuliza ni kua, house girl anaingilianaje kwenye ugomvi wetu ?
Mtu kaondoka na watoto si angemwacha tu housegirl hapa nyumbani ?
Kwani nani anaemlipa housegirl kama si mimi mwenyewe ???
Wadau hii mnaweza itafsiri vipi huu sio utani ananifanyia huyu mwanamke ???
Shahid muhimu aachwi mahakaman kabla ya kesi kwishaJumamosi ahsubuhi tulipishana kauri na wife, ikawa ni ugomvi mkubwa sana kiasi kwamba nilipotoka kwenda kazini akaamua achukue watoto na kuondoka nao,