Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mtu akishakua celeb hamna cha mambo ya familia o wat, u just have to get used to pipo sticking their noses in your business whether ni family matters o not! My point ninaposema mange hajatoa nowhere is.. perhaps hajatunga kama katunga y dd she go for these 2!
Ila nimemfatilia huyo Dada mange mda mrefuu mno, na anapokuja na kitu faham kabisa Ana data sasa ukijifanya mkujia juu anafumua kila kitu, naamin mpk kutamka hayo yote kuhusu hio familia aitakua anakila chembe ya evidence,
halafu sidhani Kama kuna haja ya kumtukana kwanza yeye ni blogger, na anachopost sio lazima ukiamini na kukichukia ila unaweza kukaa na kukifikiriaa. ngoja tusubiriii atakuja naannii Kama Dada mtu kaongea ila amejitahid kuongeaa kwa busara.
Ah wapi...wala hana data kihivyo bana.
Sema tu mbele ya audience yake ndo anaonekana kama ana data.
Lakini si mtu ambaye anaweza kwenda toe to toe na blow for blow na watu makini.
Utu ni bora kuliko kitu. Wanaadamu tukumbuke kila lenye mwanzo halikosi mwisho, ipo siku watu wanaomsapoti watamcheka. Sie yetu macho japo tunaonekana haters!
Yote Tisa, kumii hawezii kua na nguvu ya kuzungumza Yale yote Kama hakuna chembe za uhalisiaa,
Hata Kama si 100% basi angalau ina approach ndio kitu ninachomaanisha, embu tuanziee hapaa kuna haja yeyotee ya
Dada mtu kuongea Kama anahisi hayo maneno hayana ukweli??
Na je, angenyamaza kimyaa angepungukiwa na Nini?
Kama anauhakika huyo blogger Hana ushahidi wowote?
Sijaona mahali popote alipotukanwa Mange. Hakuna.
Kweli Mange alikataa na akasema kua yeyote atakayeweka comment ya uchochezi au mbaya basi ataibana.
Kugombana ni jambo la kawaida tu wala sio ajabu.
Hakukuwa na haja ya Nakaaya kuliongelea hili kana kwamba sio kweli.Kwani sisi hatuoni huko kwenye mitandao ya kijamii wanavyopotezeana?
Mange alitumia busara sana katika bandiko lake, hivyo sioni haja ya kumshambulia kisa kajitia kitanzi kuongelea hili.
Huyo Mange ni mropokaji sana hata akiambiwa athibitishe hawezi kufanya hivyo! Nakaaya kampa zawadi yake...!
Na kweli alisema wazi. Muhimu wajue umaarufu ni jalala. Umenikumbusha "I will appreciate if u don't call me that name again..... U hearddddddd???" Nacheka kufaaa