Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
- Thread starter
- #61
Ruttashobolwa Jamaa sio huyo Luca. Ni Gaidi (as per umbea wa mjini)
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ushahidi labda km kuwafumania au kupiga picha kipindi anatoka na nakaaya labda au walikua gesti akawaona au wa kimaandishiDuu basi anafanya vibaya sana tena...kama ni kweli kwanini ayaanike hivi wakati ana nafasi hata ya kuonana nao au kuwambia?
Hivi kuna ushahidi wowote unao thibitisha kuwa huyu jamaa aliye na Nancy alishawai kuwa na uhusiano na Nakaaya? au ni maneno matupu?
Jamani me narepost tu kwani nimesemajeeeee ( in mkandamizaji's voice)
Duu basi anafanya vibaya sana tena...kama ni kweli kwanini ayaanike hivi wakati ana nafasi hata ya kuonana nao au kuwambia?
Hivi kuna ushahidi wowote unao thibitisha kuwa huyu jamaa aliye na Nancy alishawai kuwa na uhusiano na Nakaaya? au ni maneno matupu?
Jamaa sio huyo Luca. Ni Gaidi (as per umbea Wa mjini)
Loya wacha waanikwe tu
Wasipoanikwa umbea wa mjini tutaujulia wapi???
hhahaaa hili nalo neno kuntuuu...
japo usiombe kukutwa na bwana pepsiiii
Loya wacha waanikwe tu
Wasipoanikwa umbea wa mjini tutaujulia wapi???
ushahidi labda km kuwafumania au kupiga picha kipindi anatoka na nakaaya labda au walikua gesti akawaona au wa kimaandishi
yuko hv anapenda kuchafua watu baass
na akikichukia imekula kwako..
huoni zari,daimond,lindah,shamimi na sintah wanavyomkoma kila siki wao tuuu...!!anawachafua!!
Teh TehHeheheh afadhali
Acha tujimwagemwage humu
hata km ana ukweli mfano mm na ww ni ndugu tumegombana,kuna haja gani ya mtu wa 3 kuamua kuingilia mambo yetu ht km nimekukoseaje...?!!then kuingilia kwenyewe anatangaza kwa watu wote km sie hatuelewani bila hata kutuweka chini kutusuluhisha labda hata kwa kuongea na mmoja wetu
vitu vingine viko kifamilia zaidi..!!
Basi Nakaaya akafungue case ya kuchafuliwa na kudhalilishwa....
Lakini inataka kufanyiwa majaribio kwa babu yako Lemutuz.....
Acha tu
Likikukuta ni noma aisee
Imagine siri hadi za uvunguni zinachokonolewa
Hivi huyu Mange huwa akija bongo anatembea na walinzi?
Huyu mwanamke hajakutana na watu wabaya kiherehere kitamwisha
alisema haji sasa bongo hhhhhaaa