Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
hahaaaaa yetu macho na maskio jamani llooohAmesema kesho ndo anashusha hzo nondo?kama yeye anasema amewapatanisha basi hakuna haja ya evidence yoyote.
Me naona wangeacha na hii issue
halafu kuna haja gani sasa ya mashindano
tatizo yule hakubali kushindwa hata kidogo
kaaz kweli kweli