Ugomvi wa Nancy Sumari Vs Nakaaya: Majibu kwa Mange

Ugomvi wa Nancy Sumari Vs Nakaaya: Majibu kwa Mange

Duu basi anafanya vibaya sana tena...kama ni kweli kwanini ayaanike hivi wakati ana nafasi hata ya kuonana nao au kuwambia?
Hivi kuna ushahidi wowote unao thibitisha kuwa huyu jamaa aliye na Nancy alishawai kuwa na uhusiano na Nakaaya? au ni maneno matupu?
ushahidi labda km kuwafumania au kupiga picha kipindi anatoka na nakaaya labda au walikua gesti akawaona au wa kimaandishi
yuko hv anapenda kuchafua watu baass
na akikichukia imekula kwako..
huoni zari,daimond,lindah,shamimi na sintah wanavyomkoma kila siki wao tuuu...!!anawachafua!!
 
Loya wacha waanikwe tu
Wasipoanikwa umbea wa mjini tutaujulia wapi???


Duu basi anafanya vibaya sana tena...kama ni kweli kwanini ayaanike hivi wakati ana nafasi hata ya kuonana nao au kuwambia?
Hivi kuna ushahidi wowote unao thibitisha kuwa huyu jamaa aliye na Nancy alishawai kuwa na uhusiano na Nakaaya? au ni maneno matupu?
 
Matola Aisee, naona sina cha kuongezea. Huwa simwelewi mtu anayemwunga mkono Mange, mtu anayeumiza hisia za wengi kisa wao maarufu? Na matusi na dhihaka ambazo huwa anawapaka? nifah, mwenye moto ni Mungu pekee, Mange binadam kama mimi na wewe. Kumbe mnamjua kabisa kuwa huwa anawakosesha watu amani?
 
Last edited by a moderator:
ushahidi labda km kuwafumania au kupiga picha kipindi anatoka na nakaaya labda au walikua gesti akawaona au wa kimaandishi
yuko hv anapenda kuchafua watu baass
na akikichukia imekula kwako..
huoni zari,daimond,lindah,shamimi na sintah wanavyomkoma kila siki wao tuuu...!!anawachafua!!

Basi Nakaaya akafungue case ya kuchafuliwa na kudhalilishwa....
 
hata km ana ukweli mfano mm na ww ni ndugu tumegombana,kuna haja gani ya mtu wa 3 kuamua kuingilia mambo yetu ht km nimekukoseaje...?!!then kuingilia kwenyewe anatangaza kwa watu wote km sie hatuelewani bila hata kutuweka chini kutusuluhisha labda hata kwa kuongea na mmoja wetu

vitu vingine viko kifamilia zaidi..!!

Kwani hao kina Nancy ndo wa kwanza kuandikwa mitandaoni jamani. Naona ukiwa celebrity kubali kuandikwa kwa yote mazuri na mabovu.
Hyo ndo hasara ya kujulikana mastar wengi tu huandikwa mitandaoni vitu vyao hadi wanasiasa huandikwa negative zao. Sema tu yeye ndo aka publish ka blogger yoyote mi hiki kitu niliskia mda. Sema hao watu hawakupeleka kwa shingongo tu.
 
Mange hakusema chanzo cha ugomvi ila kaachia comments ambazo zimesema yoteee, ila hajawahi kumsema Wema vibaya.
Tuwekeeni post
 
Acha tu

Likikukuta ni noma aisee

Imagine siri hadi za uvunguni zinachokonolewa

hhhahhaaa yani mimi ntaendelea kubaki anonimas hv hv na mifake id's kila kona ig hadi skaipi
staki mieeee kuumbuana umbuana
mana waweza pata presha zote mbili ....
 
Matola
Mimi huwa siwaelewi kabisa wanaomwona huyo mtu kuwa eti ni msomi na ni mtu makini asiyekurupuka kusema vitu bila ushahidi. Ana usomi gani huyo mtu? Shahada za kutoka kwenye ma diploma mills nazo ni za kujivunia? Huyo mtu hana usomi wowote ule. Vilevile, hana umakini wowote ule.

Ninavyodhani kuhusu huyo mtu ni kwamba caliber ya wapambe wake waliomzunguka wengi wao ni wajinga wa kutupwa. Ni wale watu ambao huwezi hata ukakaa ukajadili nao current events ambazo hazihusu udaku na uzushi. Ni watu ambao hata kusoma vitu na kuelewa ni shida. Ni watu ambao nadhani hata shuleni kufanya vizuri ilikuwa ni mgogoro.

Ukisoma tu maandiko ya huyo kinara wao basi unapata mwanga wa wao ni watu wa aina gani. Kwa sababu, ukimsoma tu huyo kinara mwanzo hadi mwisho na uelewe hata alichoandika yahitaji uvumilivu na utulivu wa hali ya juu. Mtu anaandika kama kuku aliyekatwa kichwa. Makosa mwanzo mwisho. Na si makosa ya kanuni za kisarufi au misamiati tu, hata mantiki ni hovyo kabisa. Kila kitu shaghalabaghala.

Eti huyo ndo msomi. Eti huyo ndo mtu makini.
 
Last edited by a moderator:
Nakaaya amejibu vizuri Sana katumia hekima kuficha ya nyumbani kwao,lakin mange asingeongea tusingejuaaa aiseee
 
Hivi huyu Mange huwa akija bongo anatembea na walinzi?
Huyu mwanamke hajakutana na watu wabaya kiherehere kitamwisha


alisema haji sasa bongo hhhhhaaa
 
Back
Top Bottom