hsnaturalfertility
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 399
- 992
Wahindi wana hiyo shida sana. Inaanzia kwenye familia nambo ya mgawanyo wa mali na wivu wa mafanikio. hata tajiri mkubwa Mukesh ambani na mdogo wake Anil ni maadui wakubwa sana. Hapa TZ ndio usiseme, wahindi kibao hawaongei na ndugu zao.