hsnaturalfertility JF-Expert Member Joined May 14, 2022 Posts 399 Reaction score 992 Mar 9, 2025 #21 Wahindi wana hiyo shida sana. Inaanzia kwenye familia nambo ya mgawanyo wa mali na wivu wa mafanikio. hata tajiri mkubwa Mukesh ambani na mdogo wake Anil ni maadui wakubwa sana. Hapa TZ ndio usiseme, wahindi kibao hawaongei na ndugu zao.
Wahindi wana hiyo shida sana. Inaanzia kwenye familia nambo ya mgawanyo wa mali na wivu wa mafanikio. hata tajiri mkubwa Mukesh ambani na mdogo wake Anil ni maadui wakubwa sana. Hapa TZ ndio usiseme, wahindi kibao hawaongei na ndugu zao.