Ugomvi wa Thea na aliyekuwa mume wake umeenda shule

Hivi hawa waigizaji hawaoni umri unakwenda....
 
Hata maisha ya kawaida Ni maigizo tu....!!!!
 
Sikuwah kufikiria kama Thea ni mwanamke wa aina hiyo.... Bongo movie ni bongo movie tu
 
hiyo movie yao inaitwaje nikaitafute...inaonyesha ni nzuri mno
 
Maisha magumu aisee
Watu wamechanganyikiwa 😀😀
Yani kweli kabisa ukali wa maisha unawafanya watu wajiachishe makusudi.Kuna dada alidai talaka kwa mumewe kwa ugomvi wa kuzua ili arudi kwao,kisa mume anamtegemea kwa chakula katika siku ambazo mume hajapata kibarua,mana baba mwashi mama msusi,mzee wawatu akatoa talaka moja mwanamke akaondoka,basi huko kwao hakukaa karudi mana kakutana na timu ya watu wote wakawa wanamtegemea yeye.now maisha tanatisha.
 
wanawake hawa bhana duh...eti hakuwahi kuolewa sa anatuambia ili tumuoe au
 
jaman mwenye namba ya thea anitumie coz kitambo sana nammezea mate
 
Alafu huyu mume alikua wa mwigizaji mwingine Ummy then akamuoa Thea so karma is a bitch
 
Yani kweli kabisa ukali wa maisha unawafanya watu wajiachishe makusudi.Kuna dada alidai talaka kwa mumewe kwa ugomvi wa kuzua ili arudi kwao,kisa mume anamtegemea kwa chakula katika siku ambazo mume hajapata kibarua,mana baba mwashi mama msusi,mzee wawatu akatoa talaka moja mwanamke akaondoka,basi huko kwao hakukaa karudi mana kakutana na timu ya watu wote wakawa wanamtegemea yeye.now maisha tanatisha.
Hahahhahah kaona kwa mumewe afadhali
 
Back
Top Bottom