They have never thought about tomorrowHivi hawa waigizaji hawaoni umri unakwenda....
Yani kweli kabisa ukali wa maisha unawafanya watu wajiachishe makusudi.Kuna dada alidai talaka kwa mumewe kwa ugomvi wa kuzua ili arudi kwao,kisa mume anamtegemea kwa chakula katika siku ambazo mume hajapata kibarua,mana baba mwashi mama msusi,mzee wawatu akatoa talaka moja mwanamke akaondoka,basi huko kwao hakukaa karudi mana kakutana na timu ya watu wote wakawa wanamtegemea yeye.now maisha tanatisha.Maisha magumu aisee
Watu wamechanganyikiwa 😀😀
Hahahhahah kaona kwa mumewe afadhaliYani kweli kabisa ukali wa maisha unawafanya watu wajiachishe makusudi.Kuna dada alidai talaka kwa mumewe kwa ugomvi wa kuzua ili arudi kwao,kisa mume anamtegemea kwa chakula katika siku ambazo mume hajapata kibarua,mana baba mwashi mama msusi,mzee wawatu akatoa talaka moja mwanamke akaondoka,basi huko kwao hakukaa karudi mana kakutana na timu ya watu wote wakawa wanamtegemea yeye.now maisha tanatisha.
Natamani nikuone tu,Mapenzi bwana......
Nipo hapa chako ni chako njoo tuonaneNatamani nikuone tu,