Tetesi: UGOMVI WA WAFUGAJI NA WAKULIMA

Tetesi: UGOMVI WA WAFUGAJI NA WAKULIMA

Vivax

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
520
Reaction score
184
Kuna tetesi za Mkulima wa mswiswi Mbarali kuuawa Kikatili na Wafugaji, kisha wakulima nao kuua Ngombe wengi Kikatili kulipiza kisasi.
 
Nchi ya "amani" hii, tudumishe "amani" yetu...
Hata huwa sijuhi wanaoimba wimbo huu Wana maana ipi?
Kutokuwepo vita haina maana kuwa kuna amani!
 
Back
Top Bottom