joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mwana hip hop hakai na neno kifuani bali analiongea, yeye cha msingi aongee anachokiona si sawa na si kufumba fumba.
Watangazaji waliuliza maswali kwa Babu Tale na label anayo isimamia, yeye kajibu kama vile alivyoulizwa, kutokana migogoro yao.
Sasa kama unaona industry ina matatizo mengi, kitu gani kinakuzuia kuongea, huyu ndio maana Nikki Mbishi alimchana ana umama mwingi sana, msanii wa hip hop hakai nakitu kifuani yeye aongee.