Ugomvi wa WCB na media, Wakazi amtaka Babu Tale kutotumia dini kuficha maovu yake. Aahidi kumuanika asipo sema ukweli

Mwana hip hop hakai na neno kifuani bali analiongea, yeye cha msingi aongee anachokiona si sawa na si kufumba fumba.

Watangazaji waliuliza maswali kwa Babu Tale na label anayo isimamia, yeye kajibu kama vile alivyoulizwa, kutokana migogoro yao.

Sasa kama unaona industry ina matatizo mengi, kitu gani kinakuzuia kuongea, huyu ndio maana Nikki Mbishi alimchana ana umama mwingi sana, msanii wa hip hop hakai nakitu kifuani yeye aongee.
 
Huyo Babu mwenyewe anategemea nguvu ya Mondi, maana huku kote kuzungumziwa ni kwa sababu ya Mondi...angekuwa ni meneja wa Linah Sanga sidhani hata kama mngehangaika nae......sasa sijui tatizo ni Babu kama Babu au Mondi?
 
Naona na yeye WAKAZI kapita mule mule kwa Babu Tale, (hajaongea kile anachokijua anachomtuhumu mwenzake) ni yale yale tu. Si angeongea huo ukweli anaoujua
Huyo Wakazi fala tu kwanza kipaji hana
 
Huyo Babu mwenyewe anategemea nguvu ya Mondi, maana huku kote kuzungumziwa ni kwa sababu ya Mondi...angekuwa ni meneja wa Linah Sanga sidhani hata kama mngehangaika nae......sasa sijui tatizo ni Babu kama Babu au Mondi?.
Babu Tale anatembelea mizizi ya Abdu Bonge.

Yeye mwenyewe ukiachana na Ndumba na uswahili koko, hana jipya.
 
Hawezi kuwa msanii wa hip hop huyu Wakazi
 
Tale asimfananishe Wakazi na akina Mbosso. Atafeli sana. Yule jamaa ni intellectual na ni mkweli, atafumaniwa za uso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…