Ugomvi wa Wema na Kajala, wabunge waingilia kati

waitwe ikulu wasuluhishwe maana suala lao linatishia usalama wa nchi
 
Huo uzi usiwazengue..eti Ugomvi wa Wema wabunge waingilia........psssss.........hakuna cha wabunge hapa......aliyetajwa hapo ni Idd Azan...na atakuwa ameongea na Steve au yeyote katika hali ya maongezi ya kawaida...labda wakati wa msiba wa Adam...sasa sijui hili linahusishwa vipi na wabunge wooote.

Maana ya suala kufika bungeni, ni iwapo jambo husika litaongelewa ndani bungeni.....na sidhani kama tuna wabunge wenye makhsiahara yanayofikia level hiyo....hata yule Mh ----- hawezi kuthubutu kuongelea hilo bungeni.

Sanasana hapa msome alama za nyakati...wanaogombana ni mademu...anayehoji ni mbunge mume (na kwa vyovyote ni huyo Azan aliyetajwa hapo)....bado tu mnashindwa kujua anataka nini ?

Badala ya kupoteza muda kufikiria "wabunge na Bunge" ni bora tuanze kupiga kura za maoni kwamba anataka "kupiga" ipi ? Wema ama Kajala ?
 
mleta uzi u cant be serious'
katiba yenyewe wameshndwa kuelewana wao wenyewe .waje wasuluhishe hawa wauza nyuchi!khaaa labda wawe nje ya bunge i mean labda mabwana zao wakiwa kwenye bar baada ya kazi! hvi huyu mama supika atakuwa na akili gani.bora wamjadili yule mama aliyeweka mtoto kwenye box moro kuliko hayo mangurubange loh
 
Nime copy n ku paste binamu source ni gpl
 
Huo uzi usiwazengue..eti Ugomvi wa Wema wabunge waingilia........psssss.........hakuna cha wabunge hapa......aliyetajwa hapo ni Idd Azan...na atakuwa ameongea na Steve au yeyote katika hali ya maongezi ya kawaida...labda wakati wa msiba wa Adam...sasa sijui hili linahusishwa vipi na wabunge wooote.

Maana ya suala kufika bungeni, ni iwapo jambo husika litaongelewa ndani bungeni.....na sidhani kama tuna wabunge wenye makhsiahara yanayofikia level hiyo....hata yule Mh ----- hawezi kuthubutu kuongelea hilo bungeni.

Sanasana hapa msome alama za nyakati...wanaogombana ni mademu...anayehoji ni mbunge mume (na kwa vyovyote ni huyo Azan aliyetajwa hapo)....bado tu mnashindwa kujua anataka nini ?

Badala ya kupoteza muda kufikiria "wabunge na Bunge" ni bora tuanze kupiga kura za maoni kwamba anataka "kupiga" ipi ? Wema ama Kajala ?

Haaaahaaaa...umeFYATUA
 
Mimi kura yangu mh atapiga Wema.
 
Pumbavuuu zao wabunge wao wenyewe hawapatanii humo mpaka wanapigana bungeni wameshindwa kujishauriii
Badala wajadiliii umasikinii tulionao wanajadili malaya wa mjiniii aiseee! !!!hiii kaliii
 
Anaenda kutafuta nini kuandaa bajetii au kua spikaaa!!!?

Hujamsikia steve sijui katumwa na waheshimiwa economy class au kajituma mwenyewe kuwapatanisha kajala n wema, sasa sijui uo upatanisho wataufanyia bungeni au leaders clubs au kwenye mahotel , wanajua wenyewe
 
Hahhhhhaaaa mmmhhhh unistue keshooo nipateee umbea wa madame
 
tunaomba majina ya hao wabunge tuwatandike bakora na ikiwezekana tuwachape nao.
 
Back
Top Bottom