mleta uzi u cant be serious'
katiba yenyewe wameshndwa kuelewana wao wenyewe .waje wasuluhishe hawa wauza nyuchi!khaaa labda wawe nje ya bunge i mean labda mabwana zao wakiwa kwenye bar baada ya kazi! hvi huyu mama supika atakuwa na akili gani.bora wamjadili yule mama aliyeweka mtoto kwenye box moro kuliko hayo mangurubange loh
Huo uzi usiwazengue..eti Ugomvi wa Wema wabunge waingilia........psssss.........hakuna cha wabunge hapa......aliyetajwa hapo ni Idd Azan...na atakuwa ameongea na Steve au yeyote katika hali ya maongezi ya kawaida...labda wakati wa msiba wa Adam...sasa sijui hili linahusishwa vipi na wabunge wooote.
Maana ya suala kufika bungeni, ni iwapo jambo husika litaongelewa ndani bungeni.....na sidhani kama tuna wabunge wenye makhsiahara yanayofikia level hiyo....hata yule Mh ----- hawezi kuthubutu kuongelea hilo bungeni.
Sanasana hapa msome alama za nyakati...wanaogombana ni mademu...anayehoji ni mbunge mume (na kwa vyovyote ni huyo Azan aliyetajwa hapo)....bado tu mnashindwa kujua anataka nini ?
Badala ya kupoteza muda kufikiria "wabunge na Bunge" ni bora tuanze kupiga kura za maoni kwamba anataka "kupiga" ipi ? Wema ama Kajala ?

Binamu na wewe unakata utamu sasa, unaenda wapi sasa ?? , kesho ntakushtua uangalie bunge maana naskia madame atakuwepo mjengoni
Anaenda kutafuta nini kuandaa bajetii au kua spikaaa!!!?
Hujamsikia steve sijui katumwa na waheshimiwa economy class au kajituma mwenyewe kuwapatanisha kajala n wema, sasa sijui uo upatanisho wataufanyia bungeni au leaders clubs au kwenye mahotel , wanajua wenyewe
Huyo steve anajiongelesha tu, kajala mwenyew bado yupo china anakula bata, sasa hyo wema atapatanishwa vp au kupitia IG??
Binamu na wewe unakata utamu sasa, unaenda wapi sasa ?? , kesho ntakushtua uangalie bunge maana naskia madame atakuwepo mjengoni
tunaomba majina ya hao wabunge tuwatandike bakora na ikiwezekana tuwachape nao.
Umerudii yaan wewee