Ugomvi wa Wema na Kajala, wabunge waingilia kati

Umerudii yaan wewee

Bunamu sijakupa umbea wa uko insta leo??, wolper kamchambaje yule jipange??, naona hatarudia kumchezea tena,dah wolper kapinda sana,ila leo kanifuraisha kumtolea uvivu, wolper kamwambia alimtosa jipange baada ya kumsaga sana ndo maana povu linamtoka kila akikaa wolper kumbe mwenzetu anapooza machungu ya kuachwa, aaah aah
 
tunaomba majina ya hao wabunge tuwatandike bakora na ikiwezekana tuwachape nao.

Ngoja nikufowadie namba ya steve kwa pm, nadhan atakusaidia anawajua hao wabunge
 
Hawa wabunge sasa wanafikiria kula hela zetu za buree hawana kazi naona
 
Hakuna ki2 kama hiki! God forbid it! Labda wakasuluhishane Dodoma hoteli cio bungeni.
 
Hakuna ki2 kama hiki! God forbid it! Labda wakasuluhishane Dodoma hoteli cio bungeni.

Umenikumbusha kitu kuhus dodoma hotel, dah kwel waheshimiwa kiboko
 
wabunge haooo watakua hawana kazi ya maana
 

Heeeee!yamekuwa hayo!makubwa,kanyimwa kumbe.Kuachwaaa kuachwaaaa kubaya sana
 
Ndo tulichowatuma kufanya huko mjengoni?

Huku uswazi kuna matatizo kibao, maji hakuna, barabara mbovu, dawa Hakuna, wala unga wanaangamia, umeme kwa foleni,
Mnaongelea mambo ya mashosti?

......... HASIRA.........
 

Kumbeeee makubwaaaa kwa hiyo kakubalii kua ye ni msagajiiii pia anakoboaaaa yalaaaas
 
Kweli tuna wabunge mambumbumbu na vilaza at the same time.
 
Kumbeeee makubwaaaa kwa hiyo kakubalii kua ye ni msagajiiii pia anakoboaaaa yalaaaas

We wolper unamuonaje akil zake??, kuna siku temaukwel alimchamba wolper na agnes kuhus kusagana wolper akamfuata kwenye ig yake na kumsifia aggy halaf akampa ma kiss kibao akamwabia i love you, aggy nae akamwabia i love you too dah team ukwel yakamshuka
 
tunaomba majina ya hao wabunge tuwatandike bakora na ikiwezekana tuwachape nao.


Sidhani kama ni kweli. ...

haya magazeti yanafanya tuamini ni TZ ni miongoni mwa nchi ambazo watu wake wana IQ ndogo zaidi duniani.
 
Ndio kazi iliuowapeleka bungeni?

Wataanza kuamulia mpaka ndoa za watu sasa
 
Story hizi za magazeti yetu zinathibitisha yale madai ya TZ kuwa miongoni mwa nchi ambazo wananchi wake wana IQ ndogo duniani

Naona shigongo anaendelea kumpa promo mteja wake wa kudumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…