Ugomvi wa Wema na Kajala, wabunge waingilia kati

Mimi kura yangu mh atapiga Wema.

Itatumika lugha ya kusuluhisha lakini.......

Tafsiri ya ule usemi wa "vita vya panzi furaha ya kunguru" ni kuwa wakati Panzi wapo bize wanapeana makonde Kunguru akija anawabeba wote coz concetration yao ipo kwenye ugomvi na uwezo wa kumkwepa Kunguru unakuwa finyu.....Mheshimiwa kama Kunguru anaweza "kusema" na wote kwa nyakati tofauti.
 
No wonder kwanin wanalala na kipiga kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…