Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Zitto hakutoka siku wenzie wanatoka kumkataa Magufuli. Why? Aliamini Magufuli ataendeleza kama alivyokuwa anafanya kikwete. Kumpatia fungu, pesa za kujikimu.
Magufuli alikuwa anajua Zitto anatumika na Kikwete akamlia bati na hakumtaka maana siku zote Magufuli alikuwa akimdharau sana Zitto. Hapo ndio ukawa uadui wa Zitto kwa Magufuli.
Samia aliposhika Urais akapewa ABCs za kuishi na akina Zitto, Mbowe and the likes... Akakubaliana nao kuwa wasiparuane. Kila mtu azingatie urefu wa kamba. Ndio huu ushoga alio nao Zitto kwa Samia. Ni mashoga sana wanapendana.