Ugomvi wangu na Ali Kiba ni "personal"

vip mtaalam bado upo na uyo manzi au 🤔🤔
 
Utamu kapewa mtu mwingine uchungu unakushika wewe daaah....
 
Interest,
Mwenye kisu kikubwa ndiye ula nyama siku hizi kila mtu ana mtu kilichobaki ni mwenye nguvu kumnyanganya asiye na nguvu. Halafu usimlaumu alikiba na kumchukia mlaumu demu wako kwa kutokuwa na msimamo tena mshukuru alikiba kwa kukufanya umjue demu wako ni mwanamke wa aina gani ungekuja kumuoa anngekuja kibosile akakugongea.
 
Mimi nikiwa na mahusiano na binti nikaona ana ndoto za kuwa video vixen na anakuwa inspired na akina tunda yani najiandaa kisaikolojia na kutoka ndukiii
Hakuwa hata na ndoto hizo. Basi tu nadhani mazingira yalimuexpose huko!
 
Yanii Hapa Ndipo Ulipozingua, Alikiba Hana Vocal Kama Unavomsifia, Alikiba Ni Mbana Pua Tu Kama Wabana Pua Wengine-- Hivi Unajua Vocal Wewe???

Bongo Wasanii Wenye Vocal Ni Kama Christian Bella Hivii Au Ukienda Nchi Jirani Apo Utakutana Na Sauti Soul

NB: Ali Kiba ni msanii mzuri na ana kipaji cha kweli. Sidhani kama kuna msanii anamfikia hasa kwa vocals. Sina tatizo nae kimuziki، ila siwezi kumshabikia kwa sababu nitakuwa natakatisha kile alichonifanyia miaka ile.




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kweli duniani kila mtu ana lake moyoni siku mioyo ikifunuka patakua hapatoshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…