Ugomvi wazuka kati ya marafiki wakubwa Munalove na Wema sepetu

hivi kujua huu umbea unawasaidia nini? zmeni data mshike jembe/ mfanye deal mpate hela sio mnahangaika kufuatilia maisha ya watu
 
Ungekuwa umezima data na kushika jembe usingekuwa hapa na huu ushauri mbuzi.
 
hivi kujua huu umbea unawasaidia nini? zmeni data mshike jembe/ mfanye deal mpate hela sio mnahangaika kufuatilia maisha ya watu
Wewe hapa celebrities forum unalima nini?
Sijui umekula maharage ya wapi wewe
 
Dada wa mjini tu, punda fulani hivi, ndoa ilimshinda akaanza kuchepuka na kalala jr, baadae akawa shost wa lulu mara wakaachana akawa shoga wa wema.... Unaweza kumcheki instagram dada mmoja ana sura nzito kama uji wa muhogo
Khaaaaa hatari umaarufu unatafutwa kwanguvu
 
Acha tu....
Screenshot_2016-11-12-19-37-47.png
 
Wewe hapa celebrities forum unalima nini?
Sijui umekula maharage ya wapi wewe
hiv kuanzia umemjua wema amekusaidia nini? zaidi ya kujujazia memory kwene ubongo wako!? hv ulishawah kujiuliza hilo swali? ukishajiuliza na ukapata jibu wala utakua huhangaiki kugombana na watu usiowajua kwa ajili ya mijitu inayozeekea mitandaoni!
 
Hivi ninyi wanawake mkiwa marafiki ni lazima kila mtu ajue mwezie chupi anazovaa au anapo ziweka au lazima mlale pamoja? Urafiki wa namna hii ndio maana wengi wenu mnagombana kila leo...
Utoto unawasumbua na kutojielewa ndo kinachowacost
 
hiv kuanzia umemjua wema amekusaidia nini? zaidi ya kujujazia memory kwene ubongo wako!? hv ulishawah kujiuliza hilo swali? ukishajiuliza na ukapata jibu wala utakua huhangaiki kugombana na watu usiowajua kwa ajili ya mijitu inayozeekea mitandaoni!
JF ina majukwaa zaidi ya 20, hili jukwaa la celebrities unataka tuongee mambo ya uchumi? Hivi hujioni chizi???
 
ule utafiti unaosema kwenye kila wanawake watano kuna chizi mmoja unaweza ukawa ni kweli by da way jua tu hapa jf kuna jukwaa linaitwa hoja na habari mchanganyiko ndipo nilipoonea hiii habari we ni mtoto mdogo sana hapa jf usitake umaarufu kwa kutukana watu chizi mama ako alokuzaa na sura ka unakunya!
 
Hapa ni celebrities forum kafie mbele, huo utu uzima wako mie haunihusu.....
Unakuja huku kwenye umbea afu wajitia hupendi umbea mfyuuuu
 
hapo ulipo unanuka shida kwa kukopwa maku na kukopa mawigi ya watu ili uonekane na ww unapendeza mtaani tabu zote za nini umeniita chizi mara mbili unafikiri na me nashindwa kutukana? maku ya mamako kila ukihema
 
ukigombana na chizi utaonekana na ww ni chizi sitakujibu kitu chochote coz inaonekana unasubiria giza liingie ukafanye kazi
 
As long as umeiita kazi namie nafurahia....
We hata ukipanic ndo nshakuelewesha, this is celebrities forum, tena umeambiwa ni mazuri na vimbwanga vya celebrities sasa weww unakuja kuuliza wema atatusaidia nini si uchizi? Habari za wema hapa ndo mahala pake ukitaka habari za maendeleo nenda jukwaa husika
 
hapo ulipo unanuka shida kwa kukopwa maku na kukopa mawigi ya watu ili uonekane na ww unapendeza mtaani tabu zote za nini umeniita chizi mara mbili unafikiri na me nashindwa kutukana? maku ya mamako kila ukihema
Mzee punguza kupanic maisha yenyewe yako wapi mwisho sukari ishuke bureee tukuimbie parapanda wakati muumba bado hajakuhitaji
 
Back
Top Bottom