Ugomvi wazuka kati ya marafiki wakubwa Munalove na Wema sepetu

Muna na wema wapi na wapi kwanza.Muna mchakarikaji Wema sijui ni kituko gani mungu wangu na anavyodai kaibiwa kyupi achukuliwr nyota yake nyota gani hiyo ya kulala na kina Calissah au maana alomroga ashakufa huyu mama-bint.
 
wema ndo ana shida nimegundua hivi kila shost anagombana nae kweli wote wagomvi yy ndo mwema!

yule binti ana kibri sana ndo maana mashoga zake wengi alowazidi kipato anaofanana nao hawataki!!

ana shida wemaa
 
hahahaaaaa nacheka kwa dharau

nilijua tu mda wake utafika wa kupitishwa ivi na lawama kibao[muna]
mfupa ulomshinda fisi ye kibogoyo atauweza[muna]
wema habebeki ata kwa mbeleko ya chuma........huyu binti ni zaidi ya jiwe la mtoni.wolper,lulu,aunty,peny,kajala,petit,cjui batuli nikiwataja apa wote litageuka gazeti,wawe wao ndo wakosefu kila leo.hamjiulizi y yeye??

binti rudi singida ukafundwe jinsi ya kuishi na watu
ni shida wema

anapenda kunyenyekewa kama mungu mtu !
halafu nimegundua timu wema ni vitoto vidogo visivyo na lifeee

ndo maana Milly mtu mzima alijitoa wengine wale wapuuzi tuuu wasio na kipato chochote zaidi ya kutegemea matangazo ya IG wale!
 
Huyu wema ni lini atakuwa kiakir alijuaje kuwa munalove anamloga sio siri toka miss tanzania ianze huyu ndio miss mwenye akiri ndogo zaid kuwah kutokea,maisha yake yamejaa utoto,maigizo huyu bint hajielewi
Lakini inasemekana ni mtoto kweli na kwa sasa ndiyo ana 25
 
Washaanza kumchoka. Wengi wamemind kuitwa nyani, ****** bado wapo. Upendo gani huo unakuta ata mzaz wake hampendi km anaVyompenda wema
Wapuuzi tu na wajinga wale ndo maana wengi wenye team ni wanafunzi,housegalz,wadada wa saloon na wamama wa nyumbani!!

yaani jitu linaitwa nyani Ila bado linajipeleka km yule hope yaani amekashifiwa Ila bado yumo looohhh!!!.
 
Hahahahah mi nilijua timu wema ni wadada wa mjin kumbe mahousegals na vyanafunzi jaman jaman duhhhhhhhh geniveros umenichekesha hatar
 
ni shida wema

anapenda kunyenyekewa kama mungu mtu !
halafu nimegundua timu wema ni vitoto vidogo visivyo na lifeee

ndo maana Milly mtu mzima alijitoa wengine wale wapuuzi tuuu wasio na kipato chochote zaidi ya kutegemea matangazo ya IG wale!
Madame siku hizi haumshabikii tena wema?
 
Mjini kuna mambo?Kuhangaika kote huko eti ili amuweke wema na mama yake mkononi!
WTF?

Ninachokijua mimi ni kwamba Wema na Muna kama wamepoa hivi...na anataka (wema) kurudisha majeshi kwa mama kuki (Aunt)
Nadhani Aunt na Muna haziivi,hivyo mahaba yale ya Wema juzi kwa Aunt...
Heheeeee

Kingine Wema naona anajenga ukaribu sana kwa waliokwisha kujiweka kwa Zari (Refer China trip with Wolper,na sasa Aunt)
Alafu ww nifah me nakupenda bhna [emoji173] [emoji173] [emoji180]
 
Usinikumbushe kuhusu Lipstic jamani[emoji38][emoji38]!!
Zile Lipstic zilikuwa zinafata nyayo za show ya Diamond ya fromtandaletotheworld[emoji38]!Diamond alikuwa akienda ujerumani kwenye show basi siku ya pili Wema na yeye anatangaza lipstic zake zimefika Ujerumani[emoji23]!

Nassibu alikuwa akiperform Canada basi na Kiss za Wema utasikia zimetua Canada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!

Wallah Wema mungu akuweke hai zaidi nizidi kucheka mimi[emoji38][emoji38][emoji38]maana ni zaidi ya Kansiime..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umejua kunichekesha
 
Usinikumbushe kuhusu Lipstic jamani[emoji38][emoji38]!!
Zile Lipstic zilikuwa zinafata nyayo za show ya Diamond ya fromtandaletotheworld[emoji38]!Diamond alikuwa akienda ujerumani kwenye show basi siku ya pili Wema na yeye anatangaza lipstic zake zimefika Ujerumani[emoji23]!

Nassibu alikuwa akiperform Canada basi na Kiss za Wema utasikia zimetua Canada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!

Wallah Wema mungu akuweke hai zaidi nizidi kucheka mimi[emoji38][emoji38][emoji38]maana ni zaidi ya Kansiime..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka gari zima wamesikia!!!
 
Back
Top Bottom