[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anabembeleza ndoaaa?!!!Arudi tu kwa Lulu kizee yule,laana ya mumewe inamtafuna.
Lulu mwenyewe anabembeleza ndoa kwa Majizo,hana muda na mashoga.
ni shida wemahahahaaaaa nacheka kwa dharau
nilijua tu mda wake utafika wa kupitishwa ivi na lawama kibao[muna]
mfupa ulomshinda fisi ye kibogoyo atauweza[muna]
wema habebeki ata kwa mbeleko ya chuma........huyu binti ni zaidi ya jiwe la mtoni.wolper,lulu,aunty,peny,kajala,petit,cjui batuli nikiwataja apa wote litageuka gazeti,wawe wao ndo wakosefu kila leo.hamjiulizi y yeye??
binti rudi singida ukafundwe jinsi ya kuishi na watu
Lakini inasemekana ni mtoto kweli na kwa sasa ndiyo ana 25Huyu wema ni lini atakuwa kiakir alijuaje kuwa munalove anamloga sio siri toka miss tanzania ianze huyu ndio miss mwenye akiri ndogo zaid kuwah kutokea,maisha yake yamejaa utoto,maigizo huyu bint hajielewi
Wapuuzi tu na wajinga wale ndo maana wengi wenye team ni wanafunzi,housegalz,wadada wa saloon na wamama wa nyumbani!!Washaanza kumchoka. Wengi wamemind kuitwa nyani, ****** bado wapo. Upendo gani huo unakuta ata mzaz wake hampendi km anaVyompenda wema
Hahahahah mi nilijua timu wema ni wadada wa mjin kumbe mahousegals na vyanafunzi jaman jaman duhhhhhhhh geniveros umenichekesha hatarWapuuzi tu na wajinga wale ndo maana wengi wenye team ni wanafunzi,housegalz,wadada wa saloon na wamama wa nyumbani!!
yaani jitu linaitwa nyani Ila bado linajipeleka km yule hope yaani amekashifiwa Ila bado yumo looohhh!!!.
Madame siku hizi haumshabikii tena wema?ni shida wema
anapenda kunyenyekewa kama mungu mtu !
halafu nimegundua timu wema ni vitoto vidogo visivyo na lifeee
ndo maana Milly mtu mzima alijitoa wengine wale wapuuzi tuuu wasio na kipato chochote zaidi ya kutegemea matangazo ya IG wale!
Unaambiwa kalala hadi na petitArudi tu kwa Lulu kizee yule,laana ya mumewe inamtafuna.
Lulu mwenyewe anabembeleza ndoa kwa Majizo,hana muda na mashoga.
Alafu ww nifah me nakupenda bhna [emoji173] [emoji173] [emoji180]Mjini kuna mambo?Kuhangaika kote huko eti ili amuweke wema na mama yake mkononi!
WTF?
Ninachokijua mimi ni kwamba Wema na Muna kama wamepoa hivi...na anataka (wema) kurudisha majeshi kwa mama kuki (Aunt)
Nadhani Aunt na Muna haziivi,hivyo mahaba yale ya Wema juzi kwa Aunt...
Heheeeee
Kingine Wema naona anajenga ukaribu sana kwa waliokwisha kujiweka kwa Zari (Refer China trip with Wolper,na sasa Aunt)
alitukana team wema wote[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23]Kamuita nani Nyani teh
Aliwaita timu yakeKamuita nani Nyani teh
sana ametulia mnooView attachment 428738
Sura ya muna tu ndo sijawahi kuielewa....
Afu tuhuma za kuloga anazo sana, huenda ni kachawi kweli nini
Nayapenda maisha ya aunty ya sasa, yuko busy na mme na mtoto.....
View attachment 428741
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umejua kunichekeshaUsinikumbushe kuhusu Lipstic jamani[emoji38][emoji38]!!
Zile Lipstic zilikuwa zinafata nyayo za show ya Diamond ya fromtandaletotheworld[emoji38]!Diamond alikuwa akienda ujerumani kwenye show basi siku ya pili Wema na yeye anatangaza lipstic zake zimefika Ujerumani[emoji23]!
Nassibu alikuwa akiperform Canada basi na Kiss za Wema utasikia zimetua Canada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!
Wallah Wema mungu akuweke hai zaidi nizidi kucheka mimi[emoji38][emoji38][emoji38]maana ni zaidi ya Kansiime..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka gari zima wamesikia!!!Usinikumbushe kuhusu Lipstic jamani[emoji38][emoji38]!!
Zile Lipstic zilikuwa zinafata nyayo za show ya Diamond ya fromtandaletotheworld[emoji38]!Diamond alikuwa akienda ujerumani kwenye show basi siku ya pili Wema na yeye anatangaza lipstic zake zimefika Ujerumani[emoji23]!
Nassibu alikuwa akiperform Canada basi na Kiss za Wema utasikia zimetua Canada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!
Wallah Wema mungu akuweke hai zaidi nizidi kucheka mimi[emoji38][emoji38][emoji38]maana ni zaidi ya Kansiime..
[emoji38][emoji38][emoji38]hakyamungu leooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umejua kunichekesha