Ugomvi wazuka kati ya marafiki wakubwa Munalove na Wema sepetu

Sasa kama anauza nganda mbona yupo yupo tu kama msukule, haonekani kama ana hela....
Nganda uchwara!...mapunda ya kinondoni huyajui?

Anabeba mzigo wa bilioni tatu anapeleka China anakuja kulipwa 5 to 6 million!

Upo ziwa?
 
Nganda uchwara!...mapunda ya kinondoni huyajui?

Anabeba mzigo wa bilioni tatu anapeleka China anakuja kulipwa 5 to 6 million!

Upo ziwa?
kawa na hela saa hz ana gar kaandika jina lake na vigodoro yeye ndio alikuwa anamlipia wema
 
kawa na hela saa hz ana gar kaandika jina lake na vigodoro yeye ndio alikuwa anamlipia wema
Yeah lakini hilo gari hajalinunua kutokana na vigodoro vya juzi yy na wema, huwa ana mishe hizo nilizozitaja hapo juu toka zamani!

Akiwa na bwana humuhonga yy, alimuhonga kalala hadi gari na vimilioni ushee!

Na ndo maana mabwana wanamg'ang'ania kinomii!
 
anajiona hawez kutafutwa ndio maana yy ndio anahonga duuh nilikuwa sijui
 
Nimeenda insta bhana kwenye account ya muna love.yupo kweli.ila wabongo wanajua kumpa moyooo.
 
Team Wema on work
 
Kwenye huu uzi tutapata wachangiaji wengi sana
 
Hiki anachokifanya Wema ni utoto uliopitiliza.
Kulikuwa na haja gani ya kusema yote hayo?
Hakuna kitu sipendi kama nigombane na mtu halafu aanze kuanika mambo yaliyokuwa ya siri baina yetu.
Binafsi huwa sifanyi huo upumbavu,kwahili nimemdharau sana Wema.
Atakayekubali ushoga nae from now,akapimwe akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…