Ugomvi wazuka kati ya marafiki wakubwa Munalove na Wema sepetu

Ugomvi wazuka kati ya marafiki wakubwa Munalove na Wema sepetu

Hakuna ubaya wowote kuwa shabiki wa Wema mbona?
Aaah
Huyo aliwahi kuadmit kuwa ana mkubali
Ila sasa unamshabikia wema kwa lipi!!? Mi ndio nnacho taka nijue
Yaan wanao mshabikia ana wa inspire kiaje!?.
Ni saidie kama wewe ni shabiki au timu wema pia nijue
 
Aaah
Huyo aliwahi kuadmit kuwa ana mkubali
Ila sasa unamshabikia wema kwa lipi!!? Mi ndio nnacho taka nijue
Yaan wanao mshabikia ana wa inspire kiaje!?.
Ni saidie kama wewe ni shabiki au timu wema pia nijue
Mimi ni shabiki wa Wema. Namshabikia tangu alipoupata umiss 2006 so kwa sasa nashabikia hiyo title yake niseme even though sasa hivi sio miss tena but title yake ya Miss Tanzania 2006 haifutiki. Ni sawa na kwenye soka kusema namshabikia Roy Kean or Cantona even though walishastaff soka miaka mingi but ile respect cum ushabiki iko pale pale. I hope I've made some sense[emoji4]
 
Hivi Wema yeye ndo anakosewa siku zote na hao mashoga zake? Kajala, Snura, aunty na sasa Muna wote hawa wanamkosea yeye tu?
Atakuwa na matatizo anapenda Sana kuabudiwa Kama Mungu. Afate ushauri wa mama yake kuwa anazeeka.
 
wema ndo ana shida nimegundua hivi kila shost anagombana nae kweli wote wagomvi yy ndo mwema!

yule binti ana kibri sana ndo maana mashoga zake wengi alowazidi kipato anaofanana nao hawataki!!

ana shida wemaa
Anapenda kuabudiwa Kama Mungu. Alogwe kwa lipi?? Sahivi anasema kila mtu na mama yake ikifika time ya kusema kila mtu na mtoto wake asijilizelize.
 
Na yote hii ni sababu ya wema kuskiza sauti za watu kisa eti mashabiki! Yaani wema hajui kuwa miluzi mingi humpoteza mbwa! Saa hizi angekuwa katulia tulii na diamond anakula bata maskini maana diamond alikuwa anampenda sana eti wema akamuacha kisa hashtag za mashabiki si ujinga ni nini jamani. Sasa ukute inamuuma kweli kuona mwanamke mwingine ndo anafaidi matunda ya diamond

Unajuaje kama Diamond Platnumz angekuwa alipo sasa, ingetokea bado yupo na wema?
 
1478233324273.png
 
ngoja niingie insta kwanza, naona maubuyu ya hapa yananichanganya
 
Back
Top Bottom