Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
AaahHakuna ubaya wowote kuwa shabiki wa Wema mbona?
Huyo aliwahi kuadmit kuwa ana mkubali
Ila sasa unamshabikia wema kwa lipi!!? Mi ndio nnacho taka nijue
Yaan wanao mshabikia ana wa inspire kiaje!?.
Ni saidie kama wewe ni shabiki au timu wema pia nijue