Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Sekretari Azinyofoa sehemu za siri za bosi wake kwa bahati mbaya
Tuesday, May 12, 2009 4:51 AM
Sekretari mmoja nchini Singapore ameung'ata na kuunyofoa uume wa bosi wake kwa bahati mbaya baada ya gari walilokuwa wamejificha wakati wakinyonyana sehemu za siri kugongwa na gari jingine.
Kwa mujibu shirika la habari la China, China Press, mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 30, alikuwa akimnyonya sehemu za siri bosi wake wakati gari walilokuwemo lilipogongwa na gari jingine lililokuwa likirudi nyuma.
Kutokana na mshtuko uliotokana na ajali hiyo, sekretari huyo alijishtukia akiung'ata uume wa bosi wake.
Katika kile waswahili walichonena kwamba siku ya kufa nyani miti yote huteleza, mume wa sekretari huyo alikuwa amemtuma mpelelezi kwa siri kufuatilia nyendo za mkewe baada ya kumshuku alikuwa akitembea nje.
Mpelelezi huyo alisema kwamba alimfuatilia mwanamke huyo na bosi wake hadi walipaki kwenye bustani katika jiji la Singapore.
"Walipofika kwenye bustani hiyo, hawakushuka na haukupita muda mrefu gari walilokuwemo lilianza kutingishika sana " alisema mpelelezi huyo.
Baada ya gari lao kugongwa, mwanamke huyo alipiga kelele kwa nguvu huku mdomo wake ukiwa umejaa damu, aliendelea kusema mpelelezi huyo.
Mpelelezi huyo alisema kwamba ilimbidi aite ambulansi imuwahishe bosi huyo hospitalini huku akisindikizwa na mpenzi wake huyo aliyefumaniwa naye.
"Hii ni mara yangu ya kwanza kukutana na tukio kama hili" alisema mpelelezi huyo.
...ndio wakome, na nyie igeni mfe!