Ugoni mbaya!

Ugoni mbaya!

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,861
Sekretari Azinyofoa sehemu za siri za bosi wake kwa bahati mbaya


SafeRedirect.aspx

Tuesday, May 12, 2009 4:51 AM
Sekretari mmoja nchini Singapore ameung'ata na kuunyofoa uume wa bosi wake kwa bahati mbaya baada ya gari walilokuwa wamejificha wakati wakinyonyana sehemu za siri kugongwa na gari jingine.
Kwa mujibu shirika la habari la China, China Press, mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 30, alikuwa akimnyonya sehemu za siri bosi wake wakati gari walilokuwemo lilipogongwa na gari jingine lililokuwa likirudi nyuma.

Kutokana na mshtuko uliotokana na ajali hiyo, sekretari huyo alijishtukia akiung'ata uume wa bosi wake.

Katika kile waswahili walichonena kwamba siku ya kufa nyani miti yote huteleza, mume wa sekretari huyo alikuwa amemtuma mpelelezi kwa siri kufuatilia nyendo za mkewe baada ya kumshuku alikuwa akitembea nje.

Mpelelezi huyo alisema kwamba alimfuatilia mwanamke huyo na bosi wake hadi walipaki kwenye bustani katika jiji la Singapore.

"Walipofika kwenye bustani hiyo, hawakushuka na haukupita muda mrefu gari walilokuwemo lilianza kutingishika sana " alisema mpelelezi huyo.

Baada ya gari lao kugongwa, mwanamke huyo alipiga kelele kwa nguvu huku mdomo wake ukiwa umejaa damu, aliendelea kusema mpelelezi huyo.

Mpelelezi huyo alisema kwamba ilimbidi aite ambulansi imuwahishe bosi huyo hospitalini huku akisindikizwa na mpenzi wake huyo aliyefumaniwa naye.

"Hii ni mara yangu ya kwanza kukutana na tukio kama hili" alisema mpelelezi huyo.

...ndio wakome, na nyie igeni mfe!
 
Kwa hiyo kipande ameondoka nacho au?
 
mmmmmmmmmmm duh!aisee sasa hapo sijui alinga'ata kila kitu ama.....m m m m m
 
Basi utakuta jamaa mnanyonyana nyeti kila mmoja kwa kujinafasi halafu mkitaka kulianza mnatinga maliboro??? Ya nini kama umeshanyonya pekupeku??? Hivi watengeneza malibora bado hawajaweza kubuni ya kuvalisha mdomo?? designers hapa imekaaje??
 
dah! hiyo ndio ukumu ya dhambi mkuu.
 
Mungu aepushe kabisa dhahama hiyo huku kwetu Tanzania jamani....
Maana hii ni laana ya watu wasimjua Mungu.......
 
Adhabu ya dhambi zingine ipo ndani ya kitendo chenyewe na kufanya dhambi.Hii ndio mfano
 
Back
Top Bottom