Ugonjwa gani huu Dar umeingia

Asilimia ya watu wengi sana Dar wanaumwa mafua,kichwa dalili kama za homa viungo vya mwili kuuma kwa pamoja kiuno,mgongo macho,mwili kuishiwa nguvu kama yupo mwenye ufahamu wa ili jambo ebu huabalishe ni nini hiki?
joto kali nalo linachangia sometime
 
Hiyo tb mkuu kapime kohozi

Ahsante mkuu. Nilishapona kitambo. Sikua nakohoa, dawa za malaria ndio ziliniponyesha. Nilikua natafuna vitunguu na tangawizi pia. Namshukuru Mungu sana nipo sawa
 
Ahsante mkuu. Nilishapona kitambo. Sikua nakohoa, dawa za malaria ndio ziliniponyesha. Nilikua natafuna vitunguu na tangawizi pia. Namshukuru Mungu sana nipo sawa
[emoji120] [emoji120]
 
Southampton 0 - 1 GOALLeicester

mpaka hapa cape ya 2+ kwake sina wasi wasi
 
Misaada hii....usijekuta meli ilikuja kipanda mbegu na sasa zimeanza kuota soon waanze kuvuna mapesa
wachina sio watu wazuri hapo kuna dawa wanataka wajaribu wapige pesa msaada wa mchina Ni wa kuogopa kama ukoma.
 
Meambiwa pakeni grisi, vyuma vimekaza hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…