ngudengude
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 1,175
- 466
joto kali nalo linachangia sometimeAsilimia ya watu wengi sana Dar wanaumwa mafua,kichwa dalili kama za homa viungo vya mwili kuuma kwa pamoja kiuno,mgongo macho,mwili kuishiwa nguvu kama yupo mwenye ufahamu wa ili jambo ebu huabalishe ni nini hiki?