Ugonjwa gani huu,msaada

Ugonjwa gani huu,msaada

aisee nenda hospitali mapema..au jaribu kuwasiliana na Mzizimakvu hapa JF atakupa ushauri mzuri tu..
 
Pole sana kwa hayo matatizo isije ikawa ndio dalili ya ugonjwa wa ngozi unaokujia wewe? jaribu kumuona Daktari wa hospitali iliyo karibu na wewe kisha uje hapa utupe feedback unaendeleaje tutakupa ushauri mzuri kabisa.@SANGA ONE
 
Back
Top Bottom