Boss. Nini kinasababishwa? Tiba yake ni nini?sonona
Asante sana mkuuNenda duka la mifugo elezea Kama ulivyoleta uzi watakusaidia.
Hii ni uhakika.
[emoji15][emoji15][emoji12][emoji12]Kichaa cha kuku we mvutishe bange tu
Kuku anakuwa Kama amepaniki, anaangalia juu ya Mara chini, anazungukazunguka, anarudi kinyumenyume, yaani fujo tupu.
Asante mkuu,ndo hivyo Sasa akifa kuku mmoja ni hasara kwenye huu uchumi wa katiHahahaha, hapo kwenye kupaniki nacheka kama mazuri. Ila mkuu uko vizuri sana kwenye kufuatilia mienendo ya mifugo yako, mpaka kugundua kuku hayuko sawa sio jambo rahisi. Wengi wanajuaga mdondo tu
Jamani,kwa hiyo February atatulia siyo?Januari imemkolea huyo kuku...
Mpe muda...mwezi mgumu huu.Jamani,kwa hiyo February atatulia siyo?
Bange Tena? Si ndiyo atavurugikiwa kabisa.Kichaa cha kuku we mvutishe bange tu
HaaaaaaMpe muda...mwezi mgumu huu.
Dawa ya moto ni moto kakaBange Tena? Si ndiyo atavurugikiwa kabisa.
KideliWakuu salamu za asubuhi
Naomba mnitoe tongotongo, huu no ugonjwa gani kwa kukuna dawa yake ni nini?
Kuku anakuwa Kama amepaniki, anaangalia juu ya Mara chini, anazungukazunguka, anarudi kinyumenyume, yaani fujo tupu.
Hata kula anashindwa ni km amepata kichaa. Mimi siuelewi huu ugonjwa,wadau karibuni kwa maelezo.
Ni kuku wa kienyeji
HaaaaaaDawa ya moto ni moto kaka
Shukrani wa stendiNunua esb3 (ii esibii three) wachanganyie kwenye maji au otic plus nunua na dcp wachanganyie kwenye pumba
Sent using Jamii Forums mobile app