Ugonjwa gani tena huu? Msaada tafadhali

kashaga

Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
13
Reaction score
2
Hello!
Marafiki naombeni kusaidiwa kufahamu nini nicheck zaidi.
Nilikwenda hospitali kucheck afya baada ya kuhisi hali ya muwasho kwenye njia yangu ya mkojo na asubuhi nilipokuwa nikiamka niliona hali ya ute kama manii vile ila ute huo haukuwa na harufu. Hii ilikuwa mara ya kwanza kwa tukio ka hili nilipocheck sikuwa ua UTI wala nini ila Dr akanieleza nitakuwa nina fungus kwa hiyo nikapewa dawa flani zinaitwa SAC Secnidazole Tablets (1000mg) nimetumia wiki mbili zimepita ile hali ikapotea ila naona saiv inaanza kurudi na saa zingine nahisi hali flan ya maumivu kwa mbali.
Je, natakiwa kucheck nini?
Maana sex sijafanya muda mrefu i worry?!
Please help me
 
Labda unahitaji sex..... Usikae muda mrefu bila sex....zinataka kutoka ila zinakosa msukumo.....

Dr Preta.....
 
Jaribu kukumbuka kama umelala nyumba za wageni hivi karibuni. Taulo zao zile siyo kabisa, nyingi hazifanyiwi usafi wa kutosha na hivyo kubaki na vimelea vya magonjwa mbali mbali. Nenda hospitali kwa vipimo zaidi, kwani maabara nyingi za mitaani wako kibiashara zaidi.
 
kaka thats gonorrhea. Pili secnidazole sio antifungal ni jamii moja na metronidazole. Tafuta doxycilline au azithromycin. Haraka sana. PM UKIPONA
 

wewe ni mwanaume au mwanamke?miaka mingapi?
 
Fanya check up ya Korodani pia.. ila naikubali dawa alokwambia Kim Jong Un
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…