kashaga
Member
- Jan 25, 2013
- 13
- 2
Hello!
Marafiki naombeni kusaidiwa kufahamu nini nicheck zaidi.
Nilikwenda hospitali kucheck afya baada ya kuhisi hali ya muwasho kwenye njia yangu ya mkojo na asubuhi nilipokuwa nikiamka niliona hali ya ute kama manii vile ila ute huo haukuwa na harufu. Hii ilikuwa mara ya kwanza kwa tukio ka hili nilipocheck sikuwa ua UTI wala nini ila Dr akanieleza nitakuwa nina fungus kwa hiyo nikapewa dawa flani zinaitwa SAC Secnidazole Tablets (1000mg) nimetumia wiki mbili zimepita ile hali ikapotea ila naona saiv inaanza kurudi na saa zingine nahisi hali flan ya maumivu kwa mbali.
Je, natakiwa kucheck nini?
Maana sex sijafanya muda mrefu i worry?!
Please help me