Ugonjwa huu tiba yake nini?

Ugonjwa huu tiba yake nini?

KISHOKA_ZUMBU

Senior Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
163
Reaction score
78
J'mosi nilifika kijijini na kukuta ni siku ya mnada wa ng'ombe na mbuzi.
Kawaida siku hii watu huenda mnadani kula nyama choma.
Nami nikajiunga kundini, nlijipatia kamguu ka-mbuzi.

TATIZO
Toka nile juzi, tumbo limejaa, nahisi kushiba mfululizo, natapika sana ikiambatana na damu.
Nimepima malaria, typhoid hola!
Je, yaweza kuwa nini?
Tiba yake ni nni?
Naombeni msaada tafadhari..
 
ohhh, friend please haraka nenda hospitali, isije ikawa ni Anthrax!! it is a very deadly disease!
 
mkuu pole sana...
nadhani ungetafuta msaada zaidi, nenda hospital!
 
Back
Top Bottom