J'mosi nilifika kijijini na kukuta ni siku ya mnada wa ng'ombe na mbuzi.
Kawaida siku hii watu huenda mnadani kula nyama choma.
Nami nikajiunga kundini, nlijipatia kamguu ka-mbuzi.
TATIZO
Toka nile juzi, tumbo limejaa, nahisi kushiba mfululizo, natapika sana ikiambatana na damu.
Nimepima malaria, typhoid hola!
Je, yaweza kuwa nini?
Tiba yake ni nni?
Naombeni msaada tafadhari..