Ugonjwa huu umenimalizia tikiti nifanye nini kuepuka nao

Mkuu uko vizuri

Naomba ufafanuzi kwenye hili

Mimi nimeanza kilimo cha nyanya ila ile sehemu nayotaka kupandikiza miche kuna miti ya mikorosho miwili, Je inaweza kuleta shida yoyote ya magonjwa au wadudu kwa nyanya zangu?

Ahsante.
 
Mkuu uko vizuri

Naomba ufafanuzi kwenye hili

Mimi nimeanza kilimo cha nyanya ila ile sehemu nayotaka kupandikiza miche kuna miti ya mikorosho miwili, Je inaweza kuleta shida yoyote ya magonjwa au wadudu kwa nyanya zangu?

Ahsante.
Asante na karibu sana mkuu. Kwa miche ya nyanya sidhani kama kuna shida sana unless kingekuwa kipindi cha msimu wa baridi ndo miche ingeweza kudhurika.

Ila hakikisha kivuli cyo kizito sana hadi kupelekea uwepo wa giza. Kivuli kikiwa kikubwa na mwanga ukawa hauifikii miche husababisha miche kuwa marefu na yenye udhaifu.

Ili kuua wadudu kama funza na fungus, nyunyuzia miche yako dawa za sumu.
 
Kuna dawa inaitwa Guguset ukipata inakausha kila jani isipokuwa miti
mkuu nashkuru sana,,km hutojali ntakuchek pm niwe nakupa updates mana mm sio mzoefu kwnye hii tasnia so naenda kwa msaada wa materials na maelekezo ya wadau nisije kosea step
 
View attachment 656254
Hivyo ndivyo tikiti inavyokuwa
Huu si ugonjwa wala wadudu ni ukosefu wa Calcium katika tunda kitaalam tunauita BLOSSOM END ROT. Weka mbolea za CAN mara tu maua au matunda yanapoanza kutoka na baada ya hapo hakikisha unakuwa na ratiba maalum ya kumwagilia isiyobadilika badilika hadi wiki moja ya mwisho kabla ya kuvuna uache kumwagilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…