shangwe shangwe
Senior Member
- Oct 17, 2012
- 108
- 24
Mtoto wangu ana miezi mitano sasa. Wiki tatu baada ya kuzaliwa kwake alipatwa na tatizo la kushtuka na kutetemeka mguu na mkono upande wa kulia. Alianzishiwa sindano ktk hospitali ya mkoa na kupata nafuu sana. Sasa tatizo hilo limemrejea tena ktk umri huo wa miezi 5. Akiwa usingizini ndipo linamtokea. Ushauri wenu wadau!