Inaweza kuwa ni degedege, kwani daktari hakukuambia mtoto anasumbuliwa na ugonjwa gani kabla ya kumruhusu amchome sindano? au ulimfikisha tu kwa daktari akampima na kumchoma sindano bila hata kukuambia amemkuta na ugonjwa gani na anapendekeza tiba gani ifanyike?