kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
nitakupatia.....mkuu unaweza kutupa msaada jinsi ya kutengeneza hizo dawa yani pilipili,kitunguu swaumu na nyanya asante.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitakupatia.....mkuu unaweza kutupa msaada jinsi ya kutengeneza hizo dawa yani pilipili,kitunguu swaumu na nyanya asante.
Dawa ipi sasa inafaa kuondoa hao fungusAliekuuzia itakua alichanganya hawa wadudu na ugonjwa wa ubwiri unga (powdery mildew)
Mkuu kabanga heshima kwako, mkuu kama hutojali nami maomba unijuze mamna ya kutengeza hizo dawa kwa kutumia pilipili, nyanya na kitunguu swaum.nitakupatia.....
Waungwana, nitaandika kile kitakachosaidia, kwa sasa nipo muda mwingi field....Mkuu kabanga heshima kwako, mkuu kama hutojali nami maomba unijuze mamna ya kutengeza hizo dawa kwa kutumia pilipili, nyanya na kitunguu swaum.
Naomba ni-tag kwenye hilo bandiko nikasome plse.Waungwana, nitaandika kile kitakachosaidia, kwa sasa nipo muda mwingi field....